Skip Navigation
Skip Left Section Navigation

Matukio katika picha

Mkufunzi wa Kiswahili kutoka Tanzania, Beatrice Mkenda, katika maonyesho ya utamaduni wa Kiafrika

 

 
 Mkufunzi wa Kiswahili kutoka Tanzania, Beatrice Mkenda akiongoza mduara wa wanafunzi wa kimarekani wanaojifunza masuala ya Kiafrika katika shule ya Madison, jimbo la Wisconsin. Mkenda anafundisha Kiswahili kwenye Chuo Kikuu Wisconsin kilichopo Madison chini ya mpango wa Fulbright unaofadhiliwa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani.
Mkufunzi wa Kiswahili kutoka Tanzania, Beatrice Mkenda akiongoza mduara wa
wanafunzi wa kimarekani wanaojifunza masuala ya Kiafrika katika shule ya
Madison, jimbo la Wisconsin. Mkenda anafundisha Kiswahili kwenye Chuo
Kikuu Wisconsin kilichopo Madison chini ya mpango wa Fulbright
unaofadhiliwa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani. (Machi 2007).